Sdebaseboy JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 792 Reaction score 257 Apr 20, 2017 #61 Nzuri sana. Ni mfano wa kuigwa kwa wanaume wote kutimizi wajibu wa kusaidizana katika malezi ya kifamilia kwa njia na mitindo mbali mbali.
Nzuri sana. Ni mfano wa kuigwa kwa wanaume wote kutimizi wajibu wa kusaidizana katika malezi ya kifamilia kwa njia na mitindo mbali mbali.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Apr 20, 2017 #63 Respect
B Blue Iron JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 497 Reaction score 301 Apr 21, 2017 #64 Wanaume wachache sana wanaweza kufanya kama huyo.
Smart boy Shewedy JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 3,725 Reaction score 3,516 Apr 21, 2017 #65 Kwangu sioni hoja, bali nampa pongezi kwa upendo alionao kwa mkewe na mtoto... Raha ya kuwa na mke ajuae Mwanaume.
Kwangu sioni hoja, bali nampa pongezi kwa upendo alionao kwa mkewe na mtoto... Raha ya kuwa na mke ajuae Mwanaume.
vesta JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 938 Reaction score 953 Apr 21, 2017 #66 Huyu bila shaka ni mnyakyusa
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Apr 24, 2017 #67 Boloyoung said: Click to expand... Anapalilia alichokipanda