Maana wanaume wengi wanakuwaga wakali nje,wakiwa ndani kwa wandani wao. Wanakuwa wapole. Mpaka unaweza pigwa na butwaaa wanavyofanywaSwali zuri kweli.
Onyesha upendo kwa watoto wako bila kujali nani atasema nini na atakuonaje,kwa sababu hakuna anayeishi kwa kumfurahisha asiyehusika na maisha yake
aSAFI SANA
Kwny awamu hii kuna waziri naye alibebeshwa mtoto na mamsap wake sema hakupewa adhabu ya kubeba mkoba na mwamvuli km huyu

Ila kutia mimba mtoto wa mwenzio unaona raha. Vumilia iingie na kwako.Nimependa tu kiatu kabla ya kutoa neno kwake kama cha Charlie Chaplin.
Unalea hivyo halafu kuna kidume kinakuja kumtia mimba aisee lazima utapiga mtu.
Ohooo!Huko mnavyo fundwa huwa mnaambiwa hayo ni majukumu ya nani?
Kama mkewe hayupo jirani, huo mkoba ni tatizo.Utakuta labda daily anampiga nkewe sasa kakimbiwa
Hongera baba! Wewe ni mwanaume wa mfano.
Tehe tehe tehe! Unatamani tuwe kama huyu? Unaweza kuta haya yamemkuta baada ya kutotoa fedha za matumizi ndio kasusiwaNatamani wanaume wote mngekuwa Kama huyu baba..
Majukumu kusaidiana
Sina uhakika. Ila asingekenua kiasi hichoTehe tehe tehe! Unatamani tuwe kama huyu? Unaweza kuta haya yamemkuta baada ya kutotoa fedha za matumizi ndio kasusiwa