Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
Ya watu wote.mke na Mume. Mbona kliniki mnashauriwa tuende wotee,mwanaume anabeba pochi na mwamvuli mimi nabeba MtotoHuko mnavyo fundwa huwa mnaambiwa hayo ni majukumu ya nani?
Ya watu wote.mke na Mume. Mbona kliniki mnashauriwa tuende wotee,mwanaume anabeba pochi na mwamvuli mimi nabeba MtotoHuko mnavyo fundwa huwa mnaambiwa hayo ni majukumu ya nani?
cjamkimbia mimi nipo job yeye anampeleka motto clinic tunagawana majukum jamaniiii...mimi penda mumee wangu ananisaidiaaaa.....Sio vizuri kumkimbia hubby wako feb
Tehtehcjamkimbia mimi nipo job yeye anampeleka motto clinic tunagawana majukum jamaniiii...mimi penda mumee wangu ananisaidiaaaa.....
wi kwi kwi kwi kwi kwiiTehteh
Ndiyo kumpa hadi mkoba na mwamvuli wako! Unachokitaka utakipata wewe
Inahitaji moyo sana
Weee ishia apo apoNatamani wanaume wote mngekuwa Kama huyu baba..
Majukumu kusaidiana
Umenifurahisha uliposema copy. Hamna haja ya DNA hapoHapo kuna mengi
1. Mama amefariki
2. Mama amekimbia
3. Ameenda kazini
Yote tisa lakini dogo ni copy yake kabisa wala hajachapiwa.
hivi ni kweli ukibeba hivyo unakuwa baba mzuri?? aisee basi uzuri ni mpana kwa mapanababa mzuri
pokea heshima mkuu, kwa kuwaza mbali sijui tufanyaje kwa hichi kizazi cha nyoka na mendeNimependa tu kiatu kabla ya kutoa neno kwake kama cha Charlie Chaplin.
Unalea hivyo halafu kuna kidume kinakuja kumtia mimba aisee lazima utapiga mtu.
inategemea kama hilo halifanyiki likifanyika inawea kupa credit ndiyo maana nikasema hivyo japo haina maana ya kuwa kufanya hilo linatosha kama watoto watakuwa hawana chakula ndani na humpi mkeo pesahivi ni kweli ukibeba hivyo unakuwa baba mzuri?? aisee basi uzuri ni mpana kwa mapana