Neno moja kwa Chilla

Neno moja kwa Chilla

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,093
Kuna mambo mengine huwa ni uamuzi tu. Kufanikiwa kwenye jambo lolote lile maishani kunatokana na namna mtu anavyolitazama hilo jambo. Ni suala la kukuza picha tu. Watu wafanye mambo huku wakiwa na picha kubwa na yenye ubora kichwani mwao.

Kwa hapa, Chilla na wenzio (management) mlichora picha kubwa. Itengenezeni vizuri hiyo picha sasa tuone matokeo yake..

Mimi napongeza hatua hii. Wewe je?

 
Last edited by a moderator:
video kali nafikir inaweza mrudisha kwenye chat
 
Kazi nzuri, ila asifanye kwa mkumbo wenzie wanaugulia maumivu saa hii. Iwe na mwendelezo wenye kuzaa matunda.
 
Huyu msanii sijui nini kilimpoteza ... honestly mimi sio fan wa haya mambo but huyu alitakiwa awe ahead of platinamz and co ...
 
Tatizo la Chila ni mibangi na unga full stop
Kipaji kipo sana tu sema amekuja wakati ambao naweza kusema sio sahihi sana

Hivi sasa wasanii kibao wanaogopa kuachia kazi zao sababu zitapitezwa na hizi team mondi na team kiba

Yaani wapenzi wa muziki hivi sasa wanachoangalia ni Chibu kafanya nini au kiba atafanya nini, hawaangalii tena uzuri wa kazi bali kutetea alivhofanya msanii wa team yake

Wanjera ni zao la ubovu wa ushabiki wa ki team, na hivi Chila ana bifu na Chibu kwa kudai Chibu alimtaja ili kupata kiki basi ni shida
Video hii itaishia kapuni na hata faidi kabisa matunda ya kazi yake nzuri
 
Bifu jipya?

Mbona best nasso anafanya poa,? Au yeye ana immunity na hizo team?
 
Kazi nzuri, huyo dada anayenengua nadhani ndo yule ambaye yupo kwenye video ya Nashindwa ya Bella
 
Kati ya wanamuziki wenye Talent ni huyu Jamaa ...ana vocal list kali sana...Kama akipata management nzuri Kama ya mkubwa Fela au babu tale atafika mbali sana.

Binafsi siamini msanii kwanza meneja baadae
Yaani kama msanii hajitambui hata apate meneja mzuri kiasi gani atachemka tu

Chila hana nidhamu ya muziki
 
Habari wanaJF,
Kuna jamaa mmoja ameanzisha kundi whatsup kuhusu meditation anatapeli sana watu, watu wameshaliwa hela zao kwa sana, ww unae tamani kuwa makini na tapeli hilo.

Pia aachane na chief kiumbe the big boss
 
Ngoma nzuri,ila huko sokoni kulivyo asipaogope apambane tu
 
Huyo meneja wake naye anapenda sana masifa...looh.. kama ostaz juma?
 
legendary..ni moja ya wasanii ninaowakubali sana
 
Back
Top Bottom