Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
Yaaani! NITAACHAJE KUMISI HIYO MI MVI YAKO ILIVO SEXY KICHIZI!!!!!!!!!!!!!!!!!LOL! NIPO MKU!!!!!!!!
umekuwa wa kwanza kusifia mimvi yangu,thanks
Yaaani! NITAACHAJE KUMISI HIYO MI MVI YAKO ILIVO SEXY KICHIZI!!!!!!!!!!!!!!!!!LOL! NIPO MKU!!!!!!!!
Wenye lugha yao wanakwambia, ' Karma is a B**ch'..lazma atakuchezea mchezo mchafu..
Nimeanza kuweza bro, nimepunguza sana,, yaan nowdays castle light nne tu zinanitosha zikizidi sana 6 wakat zaman ilikuwa hadi hela iishe.. Nina imani hadi kufika june mwakan nitakuwa nimeshaacha.. Nowdays sipendi kulewa na hata bia nakunywa kwenye pub za beach sana as coco, mbalamwezi etc tena wekend tu as beach unakula bia huku upepo unakupuliza unajisikia kama unakunywa fanta,, no kulewa kabisa
Only if u mess around
karma= what goes around,comes around...
.....haya, wamekusikia....