Neno la uzima

Neno la uzima

Zaburi 20:3
Azikumbuke sadaka zako zote; azikubali tambiko zako za kuteketezwa.

! Sadaka inafungua vifungo vya kichawi na kishetani,inatia wepesi palipo na uzito, ni jukumu kuwatunza wasambazao injili na Neno la bwana, unapotoa kwajili ya bwana atakulipia, ni sawa unapanda punje ya mpunga,unavuna magunia ya mpunga, wakristo ni jukumu letu kutoa kidogo kwajili ya Mungu! Amen

Shem shem Seran naona mtumishi anakomaa sana na swala la sadaka.
mwambie bas ataje lipa namba tutume hiyo sadaka 😂😂😂😂
 
Nakuelewa vizur tu bro.
Dini tumezikuta, hata zingekuwepo zile za mababu zetu , tungekuwa nazo hizo hizo.

Divai nying na nyama nying nakula vizur tu.

Na Mungu pia namuomba.
Na ni kwasababu ni mfumo mzuri wa Maisha.
Ni bora kuamini na kukuta hakuna kitu.(utakuwa haujapoteza kitu) Kuliko kutoamini na kukuta kuna kitu.(utakuwa umepoteza kila kitu).
Hiyo pumba mnaipenda sana nyie watu, eti bora uamini alaf usimkute utakua hujapoteza kitu.. Hivi unajua misingi ya dini inakuzuia usifanye vitu vingi sana ukiwa hai??

Kama hapo nmatukataza kula divai na finyango, mara mtuambie tusimle mdudu.

Hivi kweli fikiria mtu unakatazwa kuwa na wake wengi kisa dini, unaishia kuzizoom pisi kwa mbaali unaogopa kuzini, analaf unafika huko mbinguni humkuti mndonga. Utajilaumu kiasi gani???
 
Shem shem Seran naona mtumishi anakomaa sana na swala la sadaka.
mwambie bas ataje lipa namba tutume hiyo sadaka 😂😂😂😂
1 Naye alipowaona makutano, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia;
2 akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema,
3 Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
4 Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.
5 Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
6 Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.
7 Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema.
8 Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
9 Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.
12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.
15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.
16 Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika
 
Kama hapo nmatukataza kula divai na finyango, mara mtuambie tusimle mdudu.

Hivi kweli fikiria mtu unakatazwa kuwa na wake wengi kisa dini, unaishia kuzizoom pisi kwa mbaali unaogopa kuzini, analaf unafika huko mbinguni humkuti mndonga. Utajilaumu kiasi gani??

Dini iko ili kuweka uwiano na kuilinda Dunia.

Vyote vilivyokatazwa vikiruhusiwa, Niamini kuwa Dunia weng tungekuwa tumekufa.

Hata kama Mungu hayuko, lakin kuwepo kwa Imani kuwa Binadamu sio mtawala wa mwisho wa Dunia kumesaidia kuifanya Dunia iwe sehem salama. Otherwise kama Binadam angekuwa na iman kuwa yeye ndio mtawala wa mwisho basi asingeilinda dunia. Na angeiharibu.

Hizo Limits ziko. Ili kukufanya hata kama unafanya bas ufanye kwa kujua hautakiwi kufanya. Na hii inakupunguzia kasi ya uharibifu.
 
Kweli kabisa! Barikiwa sana.
 
Umenena vyema mkuu, tatizo langu hizo dini mnazozikumbatia wakati mliletewa kwa kunyongwa na kutumikishwa.

Tuwe kama wamasai, utaona jinsi dunia itakavokua salama. Au tuwekama wahazabe, au wachina, au wathailand, au wahindi. Hana muda na mbingu, wala hawasubiri siku ya kiama. Inawafanya wasibaguane wao kwa wao.

Tofauti na nyie wafia dini, nimekutekenya kidogo tu ukanibagua, mara inaniita kobazi.. Hahahahaaa
 
Barikiwa sana sista kwa neno la uzima!!

Ila sister, japo nje ya mada, lakini we mrembo sana afu mzuri pia, kifupi umenivutia sana.

Nakusifia tu usiogope,

Sorry ka nakosea!!
 
Back
Top Bottom