MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Amina dada Shikamoo na Asantesana japo ni ngumu kukizoea kifo hasa cha mzazi lakini nilisimama imaraTutaendelea kumkumbuka katika maombi. Pole toka kwa ndugu wote unaojua wanakufahamu upande huu. Bado wanatafakari ile post yako ya mwisho ya Meditation nadhani na wewe itakusaidia kipindi hiki.
Only our spirits.Sahihi kabisa.. Hakuna kidumucho milele
Kwa Mara ya kwanza naona mshana jr anamtaja Yesu KristoHakika pengo la kumpoteza mzazi halizibiki mkuu, pole sana kaka yangu Mshana Jr.