Unajua mkuu hata mimi nimemshangaa sana huyu jamaa sijui yuko na kitu gani moyoni mwake? Hata sijaelewa!! Wewe unamfahamu mkuu huyu mtu?Nimeumia mno kamtukana mtu mmoja mstaarabu hasa na ninayefahamiana naye
Pole sana Mshana Jr kwa msiba mkubwa uliokupata! Mungu Azidi kukupa faraja, nguvu na amani! Pumzika kwa amani mama Mshana!
Shukrani sana wadauPoleni sana kaka mkubwa. Mungu ampe oumziko la milele na apumzike kwa amani. Tuko pamoja sana.