PhD ya kitu gani?
maprofesa hawa hawa mkuu??? maprofesa wengi wa TZ akili waneshikiwa. hukuwaona pale mlimani kwenye kongamano??Hongera sana Prof.Mbele kwa kusema ukweli usiopingika.nakufahamu vizuri sana kama classmate wangu pale UDSM mwaka 1978 mpaka 1981. Hata darasani ulikuwa mtu wa msimamo sana. Maprofessa endeleeni kusimamia ukweli.
CCM wawe makini.Hii ni propaganda tunatengenezewa yaani kufanya katiba ya CCM ndio iwe kama katiba ya Taifa zim
Alafu kugombea kwa Membe au kutangaza kwake nia kuna mnyima vipi Raisi usingizi? Kama Raisi Yuko fair kwa wAtu wake hata aje Nani agombee tutamtetea mpaka arudi madarakani,Mke anayetoka vizuri wajibu kwa mme wake haogopi mke mwenza maana anajiamini
Katiba ya ccm inasema kuwa mgombea wao akifanikiwa kuwa RAIS wanaweza kumchagua tena akagombea kwa muhula wa pili ; lakini haikatazi kuwa baada ya muhula wa kwanza wanachama wengine wasijitokeze kuwania uteuzi iwapo wataona inafaa!! Hapo hapo wajanja ndani ya hicho chama kwa manufaa yao binafsi wamechomeka maneno ambayo hayamo kwenye katiba yao kuwa KWA UTARATIBU TULIOJIWEKEA mwanachama akiteuliwa kugombea na kuwa Rais aruhusiwe bila mpinzani kuwa RAIS kwa mihula miwili yaani miaka kumi !!!
Swali linakuja je iwapo huyo mwanachama wao waliemteuwa na kubahatika kuwa RAIS akawa ni kichaa bila kujulikana [ maana wagombea hawapimwi afya zao baada ya kuteuliwa] na hivyo kutokutimiza majukumu yake, je watamuacha aendelee kuwa RAIS muhula wa pili? Huu utaratibu haufai na wale wanachama wa ccm makini wanaokipenda chama chao hawana budi kuupinga kwa nguvu zao zote Kwani inawanyima haki yao ya kuchagua mwanachama anayewafaa!!
Ni profesa wa ukweli na sio wa ujinga na namuunga mkono! Kwako mtu akiusema ukweli unaumia sana eeh! Badili id.Huyo profesa kasikia wapi hayo anayosema?
Halafu ni profesa wa nini?
Kumbe umekula chumvi mzee baba shikamooHongera sana Prof.Mbele kwa kusema ukweli usiopingika.nakufahamu vizuri sana kama classmate wangu pale UDSM mwaka 1978 mpaka 1981. Hata darasani ulikuwa mtu wa msimamo sana. Maprofessa endeleeni kusimamia ukweli.
Huyo profesa kasikia wapi hayo anayosema?
Halafu ni profesa wa nini?
Maganda ya koroshoPhD ya kitu gani?
PhD yake ina machapisho.Huyo profesa kasikia wapi hayo anayosema?
Halafu ni profesa wa nini?
CCM wawe makini.
Wanahangaikaje na mtu ambaye hajatoa tamko lolote?
Lini na wapi Membe ametoa tamko la kugombea ambalo limeamsha yote haya?
Nahis kuna mnufaika na hizi kauli kawatuma.
Keep talking!Kabisa osie