Neno la leo: The Perfect Guy

ni yule afanyae haya.........

1)hata akipigiwa haulizi wala kulipiza!
2) hula miogo ili mpenzi wake ale chips kuku
3) hufanya chochote including kupumuliwa kisogoni ili mradi dem wake asipate shida!
Huyo atakuwa boya zaidi ya maelezo
 


mkuu Eiyer nakuombea mvua hizi ziwe za neema uvune hadi ushangae
Ennie eti una simu ya huyu Eiyer? kama ndio hebu do ze nidiful umtwangia asije akakosea kusia mbegu
 
Last edited by a moderator:

Sijaona apo mwallu.......
 
Last edited by a moderator:
mkuu Eiyer nakuombea mvua hizi ziwe za neema uvune hadi ushangae
Mukulu ubarikiwe sana kwa maombi yako yenye nguvu kubwa
Ennie eti una simu ya huyu Eiyer? kama ndio hebu do ze nidiful umtwangia asije akakosea kusia mbegu

Dadadeki zake

Eti kaninunia kisa nimemteua Husninyo kuwa mkuu wa masista

Atajibeba

Hivi umenionea wapi snowhite ?
Nina dili nae!
 
Last edited by a moderator:
Their is no perfect guy on the face of the earth if you expect perfect then you are just setting yourself up for disappointment

Nimekumiss wewe handsome! So mnasuggest watu waache kuhangaikia na kutafuta ma-perfect kwa kuwa hawapo sio? hahahah so does it mean kuwa neno perfect liliwekwa kwa matumizi ya vitu vingine na sio wanadamu? Mwe! I am still looking for a perfect guy wajamane ambaye anakidhi tafadhali asinifanyie hinda mie mwana wa mwanaume mwenzenu eh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…