Hussein Mwinyi alisema hawezi kujiuzulu na bado hakujiuzulu,ngoja tuendelee kutukanwa Tanzania lakini..
Nchi ya kitu kidogo hii ndugu Mjengwa.
Kushangaa mtashangaa sana lakini Ngeleja ataendelea kuwa waziri wa Nishati na madini.
Hii wizara ilimshinda siku nyingi, hata aliyemteua anajua, lakini kwa kuwa mawaziri wanawekwa strategically, Ngeleja yuko pale kwa sababu maalum anazozijua aliyemteua, angekuwa ni wa kuwajibika leo angetangaza kujiuzulu kwa jinsi wabunge walivyomkomalia.
Hata hivyo nani kasema Kujiuzulu na kufikishana mahakamani ni utamaduni wetu watanzania?
Umemwachia mia nne abaki nazo, na umenunua karanga za mia tatu....alipofahamu kuwa tumenunua karanga za shilingi mia tatu na tumemwachia shilingi mia nne abaki nazo.
Maggid Mjengwa,
Iringa,
Novemba 19, 2011
Nilikuwa nafanya utafiti ni kwa nini division zero zimekuwa nyingi siku hizi, kumbe hata hapa JF wapo zero brain wengi, kwahiyo mia2 + mia2= mia1!?Umemwachia mia nne abaki nazo, na umenunua karanga za mia tatu.
Kwa hiyo umetoa tip ya shilingi mia. Sio mbaya, ubarikiwe. Lakini tip ya shilingi mia sio ya kuianzishia thread!
embu jaribu ku-spare hata dakika moja kusoma main post kabla ya kukurupuka watu wengine bwana.Umemwachia mia nne abaki nazo, na umenunua karanga za mia tatu.
Kwa hiyo umetoa tip ya shilingi mia. Sio mbaya, ubarikiwe. Lakini tip ya shilingi mia sio ya kuianzishia thread!
Yes my man are u there? uliwaona jana wapenda ubwabwa na vipedo vyao wakati wa porojo za Mkwerre?Maggid can not stop amazing rev Fr Masa!
jamani mtoa thread katoa ujumbe kwa mtiririko wa hadithi ya ukweli aliyoiona ukicompare maisha ya kimaskini ya binti muuza karanga na wa akina Jairo na Kafumu(both under Ngeleja Roof) wanaopokea posho ndefundefu kwa sikuLast dance ya Ngeleja inaletwa na muuza karanga?.
:eyebrows: mimi nimwanaCCM lakini katika hili kama ngeleja hatajiuzulu,ntaihama hiki chama rasmi na ntamtukana waziwazi.