Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Acid ndugu yangu,
Kama huna hoja tumalize malumbano haya. Nisingependa kutumia jukwaa hili kuzungumzia masuala ya ujira wangu, hayo ni ya binafsi. Nitafute tupate kikombe cha chai tuongee hayo. Mimi niko Iringa. Karibu sana ndugu yangu.
He is talking about Chadema; he has a motive!! Tatizo kubwa la Majidi ni ule uwezo wa kuelewa kipi anaandika. Mara nyingi hujijibu mwenyewe. hapa angalia: Chama imara cha ukombozi kinatakiwa kijenge uwezo wa kuwa chama cha uongozi mara ile kitapotwaa madaraka. Hufanya hivyo kwa kuweka mkazo juu ya mafunzo kwa makada wake. sasa hapa CUF na Chadema wapo wapi?I guess you are talking about CCM kwamba kinamtegemea Kikwete tu kwa ajili ya ushindi wake. Maana Makamba alisema Kikwete ni maarufu kuliko CCM. Its no wonder kwamba hapa unamaanisha kwamba umaarufu wa Kikwete hautoshi kujenga msingi imara wa chama. In this view, I congratulate you, you have said it well.
Tena napendekeza umpelekee makala hii Makamba, kumkumbusha kwamab umaarufu wa Kikwete na familia yake hauwezi kujenga chama imara na uongozi imara wa chama.
Na Maggid Mjengwa,
" One tall tree does not make a jungle"- Nelson Mandela.
Hakika, na mimi naamini, kuwa Chama cha kisiasa chenye nguvu kinatokana na kazi ya timu iliyoandaliwa vema. Na si mtu mmoja.
Tujiulize; Je, chama cha siasa ni nini? Katika harakati za kisiasa kuna aina mbili za vyama; Chama cha Ukombozi na Chama cha Uongozi. TANU, FRELIMO, ANC ni mifano ya vyama vya ukombozi vilivyokuja kugeuka kuwa vyama vya uongozi. CCM, CUF, CHADEMA ni mifano michache ya vyama vya uongozi.
Chama imara cha ukombozi kinatakiwa kijenge uwezo wa kuwa chama cha uongozi mara ile kitapotwaa madaraka. Hufanya hivyo kwa kuweka mkazo juu ya mafunzo kwa makada wake. TANU, FRELIMO na ANC viliweza kujenga uwezo huo. Kielelezo cha nguvu na umakini wa chama cha kisiasa ni uwingi na ubora wa makada wake. Chama ni makada kwa vile chama ni itikadi, malengo na shabaha na wala si nasaba na umaarufu wa mtu mmoja mmoja ndani ya chama.
Chama chenye makada wengi wenye kuielewa itikadi, malengo na shabaha ya chama, huwa hakimtegemei mtu mmoja katika kuwepo kwake. Hakimtegemei mtu mmoja katika kufanikisha ushindi wa chama. Hakimtegemei mtu mmoja katika kuhamasisha wanachama au umma. Chama hicho hujiamini. Edward Mondlane, kiongozi wa kwanza wa Frelimo alipouawa kwa bomu la barua, Frelimo walijua watafanya nini, walijua mchakato gani utumike katika kumpata mrithi wake. Na hata Samora Machel, alipotoweka ghafla kwa ajali ya ndege, FRELIMO walijua watafanya nini.
Na kama Nyerere angekufa wakati wa TANU, bila shaka, TANU walikuwa wamejindaa vema na cha kufanya. TANU haikuwa na ukame wa jeshi la makada. Nguvu ya Frelimo kama ilivyokuwa kwa TANU zilikuwa ni makada wake. Na ieleweke, kuwa makada ni roho ya chama. Chama kikianza kupungukiwa na idadi ya makada wake wakereketwa, basi, chama hicho hakina mustakabali ulio salama, kitayumba, kitaangukia kaburini.
Kuna mfano wa chama kisichokuwa na nguvu ya makada. Wakati John Garang wa SPLM alipouawa kwa ajali ya ndege, hakuna ndani ya SPLM aliyekuwa na hakika ya nini kifanyike. Kwamba ni mke na mtoto wa John Garang waliosimama mbele ya kamera za waandishi wa kimataifa kujaribu kuelekeza nini John Garang angependa kifanyike kilidhihirisha udhaifu wa SPLM. Kwamba SPLM ni John Garang na kinyume chake. SPLM ilikuwa ni chama mtu. Na hilo ni Neno La Leo.
Maggid,
Msamvu, Morogoro
Kweli one natural tall tree can not make a jungle lakini that natural tall tree can be a sign that a jugle can be created in that area. Lakini kumbuka vile vile many tall trees sio sign of jungle they can be "artificial" trees. Dubai huko wana mifano ya kutengenzaNa Maggid Mjengwa,
" One tall tree does not make a jungle"- Nelson Mandela.
Hakika, na mimi naamini, kuwa Chama cha kisiasa chenye nguvu kinatokana na kazi ya timu iliyoandaliwa vema. Na si mtu mmoja.
Je vipi nikisema tanzania bado hatujakombolewa?Je vipi nikiwakwambia kama ni kweli unayosema si sawa CCM kujiita chama chacha kiuongozi. Ni kweli kazi ya ukombozi iliisha. Je wanachi wameshakombolewa na matatizo ya msingi kama afya, elimu, nishati miundombinu?Tujiulize; Je, chama cha siasa ni nini? Katika harakati za kisiasa kuna aina mbili za vyama; Chama cha Ukombozi na Chama cha Uongozi. TANU, FRELIMO, ANC ni mifano ya vyama vya ukombozi vilivyokuja kugeuka kuwa vyama vya uongozi. CCM, CUF, CHADEMA ni mifano michache ya vyama vya uongozi.
Sasa tupe mfano kwa Tanzania kwa mazingira ya sasa. Kuwa muwazi vyama tllivyonavyo ni CCM, CHADEMA , CUF, NCCR TLP. etc Ni ipi unaona ni chama cha mtu 1ja ?Umri wa vyama unajulikana. advantage, postion na operating enviroment ya hivi vyote tunavijua.Weka factor zote in consideartion. sasa kipi ni chama bora? Binafsi naweka CCM cha mwisho. tumewapa usukani lakini sio tu hatufiki bali hatujui tunaenda wapi lakini gari linakwenda. sijui unasemaje ka hiloChama imara cha ukombozi kinatakiwa kijenge uwezo wa kuwa chama cha uongozi mara ile kitapotwaa madaraka. Hufanya hivyo kwa kuweka mkazo juu ya mafunzo kwa makada wake. TANU, FRELIMO na ANC viliweza kujenga uwezo huo. Kielelezo cha nguvu na umakini wa chama cha kisiasa ni uwingi na ubora wa makada wake. Chama ni makada kwa vile chama ni itikadi, malengo na shabaha na wala si nasaba na umaarufu wa mtu mmoja mmoja ndani ya chama.
Chama chenye makada wengi wenye kuielewa itikadi, malengo na shabaha ya chama, huwa hakimtegemei mtu mmoja katika kuwepo kwake. Hakimtegemei mtu mmoja katika kufanikisha ushindi wa chama. Hakimtegemei mtu mmoja katika kuhamasisha wanachama au umma. Chama hicho hujiamini. Edward Mondlane, kiongozi wa kwanza wa Frelimo alipouawa kwa bomu la barua, Frelimo walijua watafanya nini, walijua mchakato gani utumike katika kumpata mrithi wake. Na hata Samora Machel, alipotoweka ghafla kwa ajali ya ndege, FRELIMO walijua watafanya nini.
'Chama chenye makada wengi wenye kuielewa itikadi, malengo na shabaha ya chama, huwa hakimtegemei mtu mmoja katika kuwepo kwake'.
Interesting, CCM haiunganishwi na itikadi bali maslahi. Kinachofanya mpaka leo chama kinaexist ni maslahi tu. Ndio maana huwa nnasema si vema kukiita CCM chama cha kisiasa, hiyo ni kutuzuga tu, hilo ni kundi la criminals, na kuthibitisha hilo angalia EPA, RICHMOND, RADAR, NDEGE YA RAIS, KILIMO KWANZA, MEREMETA.
Ni mpaka watanzania tutakaposhtuka kuwa tunaongozwa na MAFIA ndio hapo tutakaposalimika, the good news is tumeshtuka already na wao wanajua sasa kuwa tumeshtuka, so wameanza kuandaa majeshi kwa mapambano ili waendelee kutunyonya.
History reminds me kwamba governments dhalimu zote duniani siku moja zinaondoka tu.
Naam!tuwe watu ambao kweli ni wasomi na sio wapumbavu, chadema kwa mfano ina watu wachache ambao ni vinara na nnamini wengi wao wanatumia umaarufu wao na huenda nata ili misingi ya chama chenyewe hawakijui.
tujadili mada badala ya mtu.
Hana amebakia kulamba makalio ya mafisadiproper mkuu... je maggid ana upeo huo?
Na Maggid Mjengwa,
One tall tree does not make a jungle- Nelson Mandela.