Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Mwanamke pekee aliye na ridhiko la nafsi , asiye na wasiwasi , asiye na mshawasha kwa 200% ! Roho kumtanga kwamba mumewe yuko wapi , anafanya nini , ni MJANE tu!
Waliobaki wote ni hauchi - hauchi unakucha!
Mguu nje - mguu ndani !
Koroboi pipa - utambi brangeti !.
Waliobaki wote ni hauchi - hauchi unakucha!
Mguu nje - mguu ndani !
Koroboi pipa - utambi brangeti !.