neno hili limeruhusiwa redioni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

neno hili limeruhusiwa redioni?

Discussion in 'Sports' started by JAYJAY, Feb 21, 2011.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,495
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  mara nyingi watangazaji wa redio wamekuwa wakilitumia neno hili ''nigga'' au kucheza nyimbo zenye neno hili bila kukatwa au maneno mengine pia, hivi hawajafundishwa maadili ya maneno ya kutumia au redio hazina clean version ya hizo nyimbo? au maneno haya sio offensive kama zamani?
   
Loading...