Neno Hili Limeelemewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neno Hili Limeelemewa

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by IshaLubuva, Sep 16, 2010.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi ni kweli hakuna maneno ya kiswahili au Kibantu ambayo yanaweza kutumika kulipunguzia mzigo neno "Mkuu"?, Hetu angalieni lilivyoelemewa:

  Prime Minister = Waziri Mkuu
  Permanent Secretary = Katibu Mkuu
  Vice Chancellor = Makam Mkuu wa Chuo
  Accountant General = Mhasibu Mkuu
  Chief Accountant = Mhasibu Mkuu
  Principal Accountant = Mhasibu Mkuu
  Collage Principal = Mkuu wa Chuo
  Head Master = Mkuu wa Shule
  University = Chuo Kikuu

  n.k
   
Loading...