neno gani ukihamaki hupenda kulitamka??

Status
Not open for further replies.

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,582
2,000
Kwangu mimi nikiwa katika taharuki ,jazba au hata mshangao napenda sana kutoa neno ambalo huambatana na hisia zangu ...kwakweli neno ...what a f***ck napenda sana kulitumia


Je nyinyi wadau hupenda kutumia neno gani .....

Nb mimi ni mtanzania
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom