miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
ukiwa single boy hausumbuliwi na takataka yoyote!!!!
Kabisa mkuu
ukiwa single boy hausumbuliwi na takataka yoyote!!!!
kuna mmoja alinipa yote kwa mpigo huku anahesabu vidole dah!! eti
"SIKUPENDI
SIKUTAKI
SIKUHITAJI afu we sio saiz yangu"
asee dah mstufanyie hivo
Sisi wakati tunasoma kibuti kilikuwa kinandikwa kwenye tishu pepa chafu chafu...
Mi namba 10 niliambiwa live japo aligeuza kidogo akasema "najuta kuoa mwanamke anefanya kazi kama yako"
Kumrahisishia nikamwambia we sema" unajuta kunioa" yaani ni kitambo lakini mpaka leo inaniuma sana,,,,,
kuna mmoja alinipa yote kwa mpigo huku anahesabu vidole dah!! eti
"SIKUPENDI
SIKUTAKI
SIKUHITAJI afu we sio saiz yangu"
asee dah mstufanyie hivo
my dear, unataka kuwa na mvuto kwa kila mtu?Hapana sitokei Huko.ila linauma Hilo neno
kuna mmoja alinipa yote kwa mpigo huku anahesabu vidole dah!! eti
"SIKUPENDI
SIKUTAKI
SIKUHITAJI afu we sio saiz yangu"
asee dah mstufanyie hivo
Hahahahah mkuu umenikumbusha mbali.Niliwah kupigwa nacho hcho afu c unajua kwa mbwembwe boarding ukipata barua unafungua na wana kibao wamekuzungua, ilikuwa hatari sana..Kilitoka Ashira
Yakisemwa kwa kiingereza hata hayaumizi....