Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
- Thread starter
- #21
namba 9 kwanza inakwenda kinyume na haki za binadamu...lol
Mie namba 9 kwangu pouwa tu ukiniona sina mvuto kwako kunawengine hawalali kwa huo huo mvuto wangu unaouwona haufai