Neno fupi kwa viongozi wanaotokana na CCM

winnerian

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
335
530
Kubalini upatiakanaji wa katiba mpya utakao harakisha maendeleo ya Taifa letu kwa ujumla.

Katiba ni kama business plan.

Nchi yetu inahitaji "Busness plan" itakayo endana na zama hizi za uwazi na teknolojia kubwa. Tukishndwa kuwa na maono mazuri na Taifa letu miaka mingi ijayo tutabaki nyuma ya mataifa yote.

Katiba sio ya chama cha siasa wala kwa faida ya mwanasiasa bali ni kwa kizazi chote cha Taifa la Tanzania.

Viongozi wetu wanazo option tatu za muenendo za kuchagua

1. Kujitoa muhanga na kuhudumu kwa uaminifu na haki.
2. Kulewa madaraka na vyeo na kusahau kabisa majukumu yao pamoja na kutenda haki.
3. Kupigania maslahi yao binafsi kwa asimilia kubwa zaidi ya maslahi ya taifa lote kwa ujumla(yaani kuwa dhana hapa nimepata nafasi ngoja niitumie vyema kabla muda wangu haujaisha).
 
Back
Top Bottom