Nadhani ni kutoka kwenye ile katuni ya ben10Siku hizi kuna hili neno ki benten ambalo kijana mdogo aki date na mwanamke mwenye umri mkubwa anaitwa ki benten .. sijajua origin yake n wapi na kwann watu waite ki benten kwann isiwe ki bennine au ki bentwo.. limetokea wapi hili neno...? Nini asili yake.. maana haliko kwenye kamusi yoyote.... ki benten.
Ni hivyo tu. Ngoja wajeFafanuaa kidogo kiongoz
Kama ukiangalia hii katuni
Tehteh kumbe lol!!! asanti kwa ufafanuziBen10 ni kijana mdogo (Cartoon) anayepambana na vitu vikubwa mfano wa majini/mashetani kwa kutumia ujasiri na uwezo wake...
Hajawahi kupoteza pambano...
Kwa nn wasiitwe kirikouBen10 ni kijana mdogo (Cartoon) anayepambana na vitu vikubwa mfano wa majini/mashetani kwa kutumia ujasiri na uwezo wake...
Hajawahi kupoteza pambano...
Me pia natamani niwe kiben 10
Ni lazima wajue kufanya Pedicure tuu mkuu...?Au na Massage??Unajua kufanya pedicure.........?......