Nimepost kule jamani nendeni mkachangie ila angalieni msije mkala ban manake kule Bishanga alienda akapewa za uso, za pua, hakurudi tena, hilo jukwaa kiti moto sirudi huko tena, Thread inasema... Kwa nini Madaktari wapuuzwe?...
shosti kule uwe unaenda na mlinzi mmasai maana usipodunda utadundwa.
mume nipo...ninatoa kichapo tu!!
mikono yenyewe laini hivyo!! manicure kila siku utaweza hata kukunja ngumi wewe???
Nimepost kule jamani nendeni mkachangie ila angalieni msije mkala ban manake kule Bishanga alienda akapewa za uso, za pua, hakurudi tena, hilo jukwaa kiti moto sirudi huko tena, Thread inasema... Kwa nini Madaktari wapuuzwe?...
Mummy bado nakupenda sana... Sihitaji ban :becky: :becky:
khaaa we hadi leo mumeo anatumia ngumi, kwanza hauna mume wewe maana unahaha tu hapa kama pira la bowling...wenzio tunatumia mguu wa kuku, dakika sifuri natawanya medulla oblongata ya mtu...
Unajua madaktari hawa puuzwi, ila tatizo lao ni bendera hawana msimamo wala ushilikiano, pia ndani ya madaktari wapo wanao kula maisha na wanaoliwa maisha, tatizo wale wanao kula maisha ndio wasaliti wakubwa. Note kwanini? Kopy this post then peleka kwa jukwaa la siasa huko mie sifiki, mchana niliweka uzi wangu wa maswala ya Tanzania, Gas na Madini si uoni cjui wame uchanganya
Nimepost kule jamani nendeni mkachangie ila angalieni msije mkala ban manake kule Bishanga alienda akapewa za uso, za pua, hakurudi tena, hilo jukwaa kiti moto sirudi huko tena, Thread inasema... Kwa nini Madaktari wapuuzwe?...
Umenikumbusha habari ya kitu chenye ncha kali.....!