bodaboda2
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 872
- 231
Nenda tu CCM sitakukumbuka daima, umesababisha shida zote za nchi hii wakati wewe ukineemeka na familia yako, huku watoto wako wanasoma Australia wa kwangu st. Kayumba tena anakaa chini bila hata uji wa Dona!!
Wewe na family yako unatibiwa nje ya nchi Mimi Baba yangu kalazwa muhimbili chini, dawa hamna!! Dr anamwangalia mwenye nacho ndiyo hamtibie, nitakuwa zuzu number 1 kuendelea kukukumbatia CCM, uliyeiba EPA, ESCROW, MEREMETA, uliyeiba kupitia Rada huku Mimi mnyonge nataabika maisha magumu wewe umeficha madolari Uswisi unakula vizuri na familia yako!!
Ulikuta dolla inauzwa Tzs.650, leo hii inaiuzwa Tzs.2200...nenda tu CCM!
-Ulikuta sarafu kibao, Tsh.5, 10, 20, leo hii hazipo tena..nenda tu CCM!
-Ulikuta nauli nalipa Tsh.250, leo hii nalipa 450...Nenda tu CCM!!
-Ulikuta pipi kali namumunya kwa Tsh.10 kila ki1, leo hii Tsh.300...nenda tu CCM!!
-Ulikuta soda nakunywa Tsh.300 leo hii
Tsh.600, hata mgeni hanunuliwi soda nenda tu CCM!!
-Wakati unakuja kitumbua kilikuwa Tsh.20 tu, leo hii Tsh.200,cnywi chai tena nikashiba...nenda tu CCM!
-Ulikuta sukari Tsh.400 tu, leo hii Tsh.2000..nenda tu CCM ya vibaka!
-Ulikuta fungu la nyanya Tsh.100 tu, leo hii Tsh.500-1000..nenda tu CCM (chama cha kinachofuga mafisadi)!
Ulikuta bia Tsh.800 leo hii
Tsh.2500 nenda tu CCM (chama cha majizi).!!
-Ulikuta sigara Tsh.50 leo hii
Tsh.200
-Ulikuta mchele Tsh.800 leo hii Tsh.1800..nenda tu CCM (chama cha majambazi)!!
-Nakuchukia CCM maana hauna tofauti na shetani
-Naona wengi wanakitaka kiti chako ila kwa kuwa nimeshagongwa na nyoka nikiona rangi ya kijani nashtuka....!!!
Nenda tu CCM, tuachie nchi yetu. Umekuwa ukidhulumu haki za wanyonge, kuuwa watu wanaotetea haki zao, kuiba Mali ya umma, kupindisha sheria ili isikutie hatiani!! Mnaiba wanyama wetu,pembe za ndovu na meno ya tembo na kuziuza kwa wazungu!!
Umekuwa ukisign mikataba mibovu ya madini na gesi ili wanyonge tuendelee kutaabika, wewe ukineemeka na familia yako! Pole CCM sina budi kukukataa sasa