Wewe unaona kuna jambo la kuchekesha hapo..?! Kilaza kweliHata haichekeshi.
Hata haichekeshi.
Kweli tulikupenda sana lakini Mola kakupenda zaidi! Buriani CCM!!Ulikuta tuna viwanda vingi, huku vingine vikiwa tishio Africa mfano General Tyres leo yamebaki magofu ya majengo huku ukosefu wa ajira ukizidi kuwa mkubwa. Kufa kufa ccm hustahili kuishi tena.
ulikuta watanzania tunashirikiana na kupendana leo mtoto wa mkuu anasubutu kutangaza rais hawezi kutoka kanda flani huku viongozi wa chama wakinyamaza kimya pasipo kukemea ubaguzi huo. Kufa kufa ccm.
Ulikuta shule za serikali zikiwa zinaongoza kwa ufaulu shule kama Ilboru, msalato hazikuacha kutoa top 10, leo imebaki kuwa historia. Kufa kufa ccm, hutanuka, nitakupa msaada wa kukuzika bure.
Vijekesho nenda fb kuna ma group kibao ya comedy. Hapa tuko serious. Enhe endelea Mzee. Alitukuta na mafisadi wachache, sasa wametriple.Hata haichekeshi.
Hata haichekeshi.
Ulikuta tuna viwanda vingi, huku vingine vikiwa tishio Africa mfano General Tyres leo yamebaki magofu ya majengo huku ukosefu wa ajira ukizidi kuwa mkubwa. Kufa kufa ccm hustahili kuishi tena.