NEMC Mwanza kuna Malaika Beach

westgate

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
278
275
Beach hii ipo ndani ya cm 30 kutoka ziwani... na bado inapumua na kufanya biashara vizuri mpaka sa hizi!!!

Wale wasio na uwezo ndo wanaambiwa wanachafua mazingira, kama kweli tunamaanisha emh tuanze na huku pia...
 
Attachments

  • 1452060208180.jpg
    1452060208180.jpg
    32.5 KB · Views: 154
Ndo utaona kama wana meno kwenye maekaru kama sio masikin ndo wanavunjiwa kama ni sheria ikamuwe pande zote mbili
 
Mkivunja Malaika na wao watavunja ile barabara ya lami inayozunguka kilima cha Ilemela Tunza hadi Airport
Mtajenga yenu...?
 
Watu Wanasema Jipu Kubwa Lipo Msoga
Mkuu Ngoja Tuone Malaika Hiyo Japo Hapo Pagumu Sana Maana Duh
Wenyewe Hapo Hicho Ni Kipimo Cha Jmp
 
Beach hii ipo ndani ya cm 30 kutoka ziwani... na bado inapumua na kufanya biashara vizuri mpaka sa hizi!!!

Wale wasio na uwezo ndo wanaambiwa wanachafua mazingira, kama kweli tunamaanisha emh tuanze na huku pia...
Heheeee. Eti cm. Ila kweli....
 
Beach hii ipo ndani ya cm 30 kutoka ziwani... na bado inapumua na kufanya biashara vizuri mpaka sa hizi!!!

Wale wasio na uwezo ndo wanaambiwa wanachafua mazingira, kama kweli tunamaanisha emh tuanze na huku pia...
hii ipo ndani ya maji kabisa ila iko poa sana ukilala hapo siku moja uwezi tamani ibomolewe.
 
Mleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
 
Pia kuna Jembe ni Jembe na jirani yake kule Nyegezi. Hizi zote zimejengwa ziwani maana hata stage iko juu ya maji. Kama ni kweli zoezi limedhamiria kuondosha uovu, basi na hotel hizi zipigwe kijiko.
 
Mleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
Rudi tena ukaone pale mlangoni na kwenye glass wall. Kama unaweza angalia chini ulipokanyaga floor ni ya mbao chini yake kuna ziwa Victoria.
 
Hapana. Lile si ziwa victoria. kuna mfereji wa maji, tena unaonekana ukiwa unaingia getini, unapeleka maji ziwani. huu mfereji wameutengeneza vizuri na unapitisha maji chini ya majengo kuyapeleka ziwani
 
Hapana. Lile si ziwa victoria. **** mfereji wa maji, tena unaonekana ukiwa unaingia getini, unapeleka maji ziwani. huu mfereji wameutengeneza vizuri na unapitisha maji chini ya majengo kuyapeleka ziwani
Huo **** mfereji wa maji ndio wapi tena huko shekhe?
 
Back
Top Bottom