KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Wakuu naomba kuuliza kuhusu hili limekaaje..Kuanzia "Right tower" Oysterbay nyumba ya Agakhan na Ubalozi wa china na nyumba zilizopo Upande wa kushoto katika barabara ya Ture drive, ukiwa unatokea Coco beach zipo Baharini je sheria inasemaje??Pia seaview Nyumba mmliki wa Goldentulp kituo ukanda huo hadi karibu na junction ya Agakhani zote hizo nyumba zipo majini je sheria inasemaje au bomoabomoa inahusu waliopo mitoni na mabondeni NEMC tupe majibu kuhusu hili!
Siyo muonee watu kwa sababu za kisiasa sheria ikate kama msumeno.
Siyo muonee watu kwa sababu za kisiasa sheria ikate kama msumeno.