Nembo ya Taifa yawekwa kwenye mvinyo

Nembo ya Taifa yawekwa kwenye mvinyo

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
Hii ni picha ya mvinyo huko china unatumia nembo ya taifa iliyochakachuliwa
 
Attachments

  • 1.jpeg
    1.jpeg
    3.7 KB · Views: 801
  • 2.jpeg
    2.jpeg
    5.9 KB · Views: 176
  • 3.jpg
    3.jpg
    43.2 KB · Views: 196
Hii ni picha ya mvinyo huko china unatumia nembo ya taifa iliyochakachuliwa

MKUBWA!

Usishangae! Si tuliwafuta wenyewe huko kwao ili waje kuchukuwa watakacho, tena kwa bei sawa na bure!

Subiria uwaone asubuhi moja wakitokea Magogoni ndiyo utajuwa tumebibafsisha kila kitu hata na akili pia.
 
Si wanatangaza utalii wa Tanzania!
ndo namshangaa jamaa nembo ya taifa kuwepo kwenye mvinyo wakati mvinyo unatengenezwa tanzania, anashindwa kushangaa bendera ya taifa kutumika kama zulia la kukanyagia mjengoni......
 
Nilifika china mwaka mmja uliopita nikakuta picha za tinga tinga zikiuzwa kama njugu, zinachorwa na kama zilivyo sikuamini nilichokiona niliishia kupiga picha ila mhusika aliponistukia nikakimbia.
 
Hii ni picha ya mvinyo huko china unatumia nembo ya taifa iliyochakachuliwa

Hiyo ni Nembo ya Bikira Maria! Tanzania bado hatujapata nembo ya Taifa labda mpaka tupate katiba mpya maana wimbo na nembo za Taifa zote zinamrudia Maria na Mungu Yesu!

Hivyo Wachina waache waitumie ktk mvinyo wao! haina wenyewe hiyo!
 
Hii sio sawa, nembo yantaifa ni kama logo ya serikali. Daifu amka basi jameni, kha!
 
hilo ni moja ya damages tunazotakiwa kulipa baada ya ileeee ishu, ileeeee ishu!
 
alaaaa

Kumbe nembo ya taifa ni ya BIKIRIA MARIA?

Ssasa tukisema nchi ina mfumo kristo mnabisha

hii nilikuwa sijalijua

Allahu Akbar
 
Hiyo ni Nembo ya Bikira Maria! Tanzania bado hatujapata nembo ya Taifa labda mpaka tupate katiba mpya maana wimbo na nembo za Taifa zote zinamrudia Maria na Mungu Yesu!

Hivyo Wachina waache waitumie ktk mvinyo wao! haina wenyewe hiyo!
Wenye akili ndogo km za kwako ndio wanaweza kuamini maneno ya kipuuzi km haya.
 
Hiyo ni Nembo ya Bikira Maria! Tanzania bado hatujapata nembo ya Taifa labda mpaka tupate katiba mpya maana wimbo na nembo za Taifa zote zinamrudia Maria na Mungu Yesu!

Hivyo Wachina waache waitumie ktk mvinyo wao! haina wenyewe hiyo!

Kumbe ndiyo maana huko kuzimu kuna idadi kubwa ya watu wa jinsia yako! Kwa akili hizi unategemea nini zaidi?
 
alaaaa

Kumbe nembo ya taifa ni ya BIKIRIA MARIA?

Ssasa tukisema nchi ina mfumo kristo mnabisha

hii nilikuwa sijalijua

Allahu Akbar

yaani wote wenye mawazo kama yako ni manyan'gau huo mfumo kristo kwenye nembo ni upi? Picha ya Maria ni ipi? Wacheni uchochezi wa hisia za kijinga! Mods uzi za namna hii nashauri zile ban! Na wahusika!
 
Hiyo ni Nembo ya Bikira Maria! Tanzania bado hatujapata nembo ya Taifa labda mpaka tupate katiba mpya maana wimbo na nembo za Taifa zote zinamrudia Maria na Mungu Yesu!

Hivyo Wachina waache waitumie ktk mvinyo wao! haina wenyewe hiyo!
Sijashangaa maana id yako naamini ndo jina lako halisi ambalo linaashiria kuwa we ni mtu wa ukanda flan maarufu kwa mipasho na ngoma za kusasambua, cant be great thinker.
 
Back
Top Bottom