Sijashangaa maana id yako naamini ndo jina lako halisi ambalo linaashiria kuwa we ni mtu wa ukanda flan maarufu kwa mipasho na ngoma za kusasambua, cant be great thinker.
Hahaha, ladha kama hizi nilizimiss sana kipindi cha kati hapo. JF raha sana...
Sijashangaa maana id yako naamini ndo jina lako halisi ambalo linaashiria kuwa we ni mtu wa ukanda flan maarufu kwa mipasho na ngoma za kusasambua, cant be great thinker.
Hii ni picha ya mvinyo huko china unatumia nembo ya taifa iliyochakachuliwa
Sijashangaa maana id yako naamini ndo jina lako halisi ambalo linaashiria kuwa we ni mtu wa ukanda flan maarufu kwa mipasho na ngoma za kusasambua, cant be great thinker.
Sijashangaa maana id yako naamini ndo jina lako halisi ambalo linaashiria kuwa we ni mtu wa ukanda flan maarufu kwa mipasho na ngoma za kusasambua, cant be great thinker.
Hiyo ni Nembo ya Bikira Maria! Tanzania bado hatujapata nembo ya Taifa labda mpaka tupate katiba mpya maana wimbo na nembo za Taifa zote zinamrudia Maria na Mungu Yesu!
Hivyo Wachina waache waitumie ktk mvinyo wao! haina wenyewe hiyo!
Huo moto hapo juu unaashiria nini?
Jini tu hilo ndo linakusumbua akilini mwako zubeda, inabidi ufanyiwe maombi ya kwa jina la Yesu ili hilo jini likutoke, upate kuona vitu halisi na sio illusion.Huo moto hapo juu unaashiria nini?