Nembo ya Taifa letu - Bibi na Bwana - ibadilishwe!!!

hqdefault.jpg



Mambo yafuatayo yamenifanya kupendekeza kubadilishwa kwa nembo hii ya Taifa letu:
1. Hivi hayo mavazi ndio ya Taifa? Kwa hiyo wadada na wamama wakivaa gauni kama la huyo mwanamama kwenye ngao ni sahihi?
2. Huyo mwanaume kushoto, hiyo nguo aliyovaa inaitwaje? Mimi naona kama gauni vile!! Maanake design yake ni kama haina tofauti na ya yule mwanamama upande wa kulia!!!


Oh, Mwanamay, kumbe ilishabadilishwa tangu 2013, baada tu ya kumpata katibu mkuu mpya Kinana.


Kwa hiyo hakuna mgogoro tena!.


attachment.php
 
Halafu kwenye bendera ya Ikulu, ngao inaonesha wale wananchi wawili wametimuliwa kwani hawatakiwi Ikulu ila meno ya tembo yamebaki!!


158px-Presidential_Standard_of_Tanzania.svg.png
 
hiyo nguo ni ya kiafrika ya kawaida tu. Ni sawa na hii hapa bila shati alilovaa mwalimu.
c626c6a7b5a220eaf42ec6e24341adce.jpg
 
Back
Top Bottom