Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Mambo yafuatayo yamenifanya kupendekeza kubadilishwa kwa nembo hii ya Taifa letu:
1. Hivi hayo mavazi ndio ya Taifa? Kwa hiyo wadada na wamama wakivaa gauni kama la huyo mwanamama kwenye ngao ni sahihi?
2. Huyo mwanaume kushoto, hiyo nguo aliyovaa inaitwaje? Mimi naona kama gauni vile!! Maanake design yake ni kama haina tofauti na ya yule mwanamama upande wa kulia!!!