The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
- Thread starter
- #101
Hivyo vikao ndio vikafikia kuhalalisha ardhi waliyoporwa wazungu sio? 😆😆😆😆..Acha kudanganya watu, au usikubali kudanganywa kifara.
Mandela amefanya vikao vingi na De clack tangu akiwa jela anachukuliwa kwa siri kwa Hellicopta na kupelekwa ikulu baada ya kikao anarudishwa gerezani Pose moore, achana na Roben Island.
Mandela angeachiwa huru siku nyingi tu ila wapumbavu kama wewe hamjui chochote kwa nini Mandela alikaa jela muda wote huo.
Mjinga anaponyamaza uhesabiwa hekima, tupe ushahidi wa ni wapi na lini Desmond Tutu alilia?
Tueleze huyu Desmond Tutu ni kwa nini yeye ndio aliteuliwa na Mandela kuongoza tume ya Truth and reconciliation commission? Na kwa nini hakukataa? Una uelewa wowote wa neno reconciliation?
Mungu alifanya jambo kubwa sana kuwanyima Watanzania wa kawaida uwezo wa kuandika lugha ya kingereza otherwise mngekuwa sumu sana, kutoka kuwagombanisha Konde boy na Diamond mngefikia mpaka level za kugombanisha nchi nyingine.
Aliambiwa aache harakati aachiwe akagoma,alivyogoma wakampa option ya kuwa Rais ila ardhi kwa wazungu akakubali sasa hapo Cha maana kipi alifanya?
Saizi Wakitaka Ardhi wainunue kwa fedha za umma ndio waigawe kwa wahitaji na Hadi sasa wameweza 20% only out of 80% ya total land,huu si ni wehu?
Angefanya Julius hili ingekuaje?