Neggirl anusurika katika Ajali ya gari.

Pole sana neggirl yaani inanikumbusha matukio kama mawili niliyonusurika kufa!!

Pamoja na hayo mamito unaweza ukajikaza ukatueleza chanzo cha ajali kilikuwa nini???

Narudia tena pole sana Mungu azidi kukulinda katika maisha yako yote.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana na Mshukuru Mungu.

Ila hiyo gari kwa chini mbona kama inaonekana imeoza kiasi?

Pia hiyo tairi ya nyumba sijui ni camera au ndo imekwisha hivyo?
 
Mungu ashukuriwe kwa matendo yake makuu. Endelea kumshukuru na kutenda yaliyo mema kwani kila dakika tunayoongezewa ina kusudi kubwa mbele za muumba.
 
Mwenyezi Mungu ashukuriwe, poleni sana.
 
Kingmairo Tuko Mzee wa Rula atall....jinsi gani ajali ilitokea - to be honest yani hata sielewi vizuri .. but nachokumbuka break zilizingua then gari ikagonga ukuta na kupinduka. Hatukua katika mwendo mkali but katika hyo sehemu barabara imekaa vibaya na kuna mteremko.
 
Last edited by a moderator:

Dah... pole aisee
 
Pole sana na Mshukuru Mungu.

Ila hiyo gari kwa chini mbona kama inaonekana imeoza kiasi?

Pia hiyo tairi ya nyumba sijui ni camera au ndo imekwisha hivyo?

Mkuu EMT mimi si mwelewa sana wa magari.. but tumepeleka service rafiki.
 
Last edited by a moderator:
Aisee pole sana mdau. Sometimes it happens, wadhungu husema ......."the bloody day has no colour"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…