Neggirl anusurika katika Ajali ya gari.

I bet wewe ndo ulikuwa unaendesha....:smile-big:

Jamani Mentor kwa nini mimi na sio mtu mwingine???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Uanzapo safari, uwapo safarini, umalizapo safari...MTANGULIZE, MUABUDU NA KUMTEGEMEA MUUMBA PEKEE.
Pole sana kwa ajali iliyowakumba.
 
Ilikuwaje hadi ikaanguka?
 
Pole sana mkuu,
na Bwana awe Mchungaji wako kila utokapo na uingiapo.
 
Pole sana neggirl. Hakika Zab. 23 ndiyo jibu la yote. Ni kumpa Mungu shukrani kwa uhai maana yeye ndiye anayeushikilia.
 
Daaaaaaaaaah pole sana neggirl,thanx u got out alive would have miss u alot!
 
Last edited by a moderator:
aisee pole sana neggirl na tumsukuru mungu kwa kila jimbo!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana.BWANa bado anakuhitaji na familia yako mtumikieni kwa moyo , nguvu na mali zenu kuzidi ulivyokuwa unafanya kabla ya ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…