Neema mpya Arusha! Wananchi kicheko

Cornestone

Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
20
Reaction score
5
Mikopo ya 10% πŸ‘‡πŸ½

Chini ya Rais Samia Mikopo ya 10% kwa vijana, wanawake na walemavu Arusha imeongezeka kutoka TZS 3.08bn (2021) hadi TZS 13.55bn (2025), ikinufaisha zaidi ya vikundi 1,380 na kuinua maisha yao kiuchumi.

Arusha OKTOBA Tunatiki βœ…
 
Yaani watanzania mjini hadi mashambani wako wanalia wanalalamika alafu eti Arusha mna Furaha, kwani Arusha si Tanzania hii yenye kuharibiwa na timu msoga? Kwenye vita sherehe na harusi huwa vinasimama kwanza ama la na wewe unatakiwa kuwahi seat yako ahela
 
Kunguni mpya.
Akili za kushikiwa.
 
Mbona waliopata hawatoi shukrani
 
Watanzania wangapi, wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…