Evans Martin Senior Member Joined Jan 14, 2014 Posts 156 Reaction score 36 Feb 9, 2014 #1 Tukiwa tunaomba huku na kusubiria kule siyo vibaya tukajaribu kushika na jembe tuone. Muda ndo huu na mvua ndo hizooo. Bahasha weka pembeni kwanza.
Tukiwa tunaomba huku na kusubiria kule siyo vibaya tukajaribu kushika na jembe tuone. Muda ndo huu na mvua ndo hizooo. Bahasha weka pembeni kwanza.
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,789 Reaction score 4,851 Feb 9, 2014 #2 Ni kwel mkuu