Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,623
- 15,358
- Thread starter
- #21
Huduma yao ni nzuri sanaWanatoa burudani nzuri sana
Huduma yao ni nzuri sanaWanatoa burudani nzuri sana
Ndagha kikoloVijana hawa Neema Vhoir wananibariki sana kwa tungo nzuri zinazoimbika na kumtukuza Mungu.
Hilo ndo tatizo kubwa kwenye kwaya nyingi za vijanaBado hawajaanza kutiana hao..ngoja waanze uone matokeo yake..
Amen amenBarikiwa mtumishi
Inashangaza lakini, maanguko ya kwaya nyingi chanzo ni hikoShindwa pepo
Wanajua balaa, wameteka live performanceWanajua sana
Mhh sikumbuki vizuriHivi neema gospel choice ndio wale walioimba wimbo ule wa zamani wa dunia imechafuka?
Ndagha mwakabholofu...
Sawa kada mtiifuok.
🐒
Uzinzi ni tabia ya mtu, ndoa ni vaziHhahaha
upo serious wake za watu na waume za watu hawatiani au unatania?
AIC chang'ombeHivi wao ni kwaya ya kanisa gani wakuu??
Kwanza kabisa acha kula kitimoto.Leo nimeurudia ule wimbo wa "kishindo cha wakomwa kimewakimbiza...", mara kumi na tano wakuu.
Hii inatafsi gani kiroho wakuu?
Cc Robert Heriel Mtibeli, Mshana Jr.
Jipe moyopale kumejaa wake za watu na waume za watu wewe, mambo ya kutiana hakuna
Siwezi kuishi bila kula kitimoto na bata, wawili hawa ndio muhimili wa pumzi yangu.Kwanza kabisa acha kula kitimoto.
Jumamosi wahi somo la lesoni
Inategemea misimamo na misingi ya hiyo kwayaJipe moyo
Acha kunywa konyagiSiwezi kuishi bila kula kitimoto na bata, wawili hawa ndio muhimili wa pumzi yangu.
Hapo sawa.Acha kunywa konyagi
kumbe na wewe dada ni muimba kwaya, natumai utakuwa pisi kali sio kinyagoWako vzr kwakweli,waimbaji wengi wa AIC Shinyanga/Kambarage wamejaa humo.
Kwaya Ina watu, Kila mtu na utashi wake. Watu zaidi ya 24 lazima watatombana tuInategemea misimamo na misingi ya hiyo kwaya
AmeenKatika miaka mi5 hivi hii kwaya inafanya vizuri sana kuanzia kwenye utunzi, music arrangements, production zao ni motoo
Zama za kkkt mabibo, lulu zimepita japo hazijasahaulika, Neema gospel wamekuja na taste mpya tofauti kulingana na kizazi kilichopo sasa hivi
CVC nao wanajitahidi sio mbaya ila bado, neema gosple choir imekuja kuchangamsha music wa injili owa upande wa kwaya
Nimewafatilia tangu enzi ya nyimbo kama "kuna mamba kivukoni, ponya kanisa lako, hadi za hivi karibuni kwakweli wamepiga hatua kubwa
Baada ya AIC tabora kuchokoza na wimbo wao wa zouk, neema hakupoa wamekuja na "Yu upande wangu "
Hongera sana Masanja na Mwalimu Alexander na timu yenu 👏👏👏
View attachment 3685285
View attachment 3685286
View attachment 3685285
View attachment 3685287