Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,623
- 15,358
- Thread starter
- #41
Mhh sikumbuki vizuri
Leo nimeurudia ule wimbo wa "kishindo cha wakomwa kimewakimbiza...", mara kumi na tano wakuu.
Hii inatafsi gani kiroho wakuu?
Cc Robert Heriel Mtibeli, Mshana Jr.
Mkoma.Hapo unachagua wewe ni mkoma au mshami.
Ili umuharibu mpakwa mafuta wa bwanakumbe na wewe dada ni muimba kwaya, natumai utakuwa pisi kali sio kinyago
Watoto wako ndo wale wanakaba watu mwanza..?Mkoma.
Hapana.Watoto wako ndo wale wanakaba watu mwanza..?
Ile kuruka ruka ni old style yalikjwa mazoea. Praise wanayofanya neema gospel choir ndio praise sasaNa hao ndo wameboresha vitu vingi sana, naona hata zile style za aic za kuruka ruka kwa nguvu zinaanza kupotea
Miaka ile waliamini style za praise, live recording ni mambo ya kina John lisu pekee na kwaya ni mambo ya ibadani na mikutano ya injiliIle kuruka ruka ni old style yalikjwa mazoea. Praise wanayofanya neema gospel choir ndio praise sasa