Need to launch complaint against GSM GROUP


Tatizo unatengeneza mambo ambayo hayajawa presented hapa.
Hiyo contract aliyoweka hapa RAJ ukiisoma unaona ni contract for service au contract of service?

Sababu unataka kulazimisha kwamba kwenye file la HR kuna contract for service, why? ili umtishe huyu jamaa?
Sasa sikiza, hata kama ulienda huko kwenye tax appeal board na kukutana na scenario ya ukwepaji kodi wa namna hiyo na hao wajinga wakwepa kodi wakaambiwa wako sahihi, hao court members ni wajinga pia,

A mere classification of a contract as a contract for service does not make it one, hauwezi kuja kutuambia hapa kwamba mtu ambaye anasupervise day to day activities za biashara, anasupervise wafanyakazi wa mwajiri walio na contract of service, ana direct access na client wa mwajiri wake eti contract yake ni contract for service.
 

Mkuu, hii practice ya kuingiza hapa wafanyakazi toka India na kufanya uhuni wa kibiashara nchini mwetu na kuwaondoa kuhuni huni namna anavyoelezea huyu jamaa ni practice kongwe, Migration department, na wafanyakazi wa AIR PORT wanauelewa, na ni wafaidika.

Nakubaliana na Point zako, ila nimezirelux.
 
So you admit you have balance to pay and you did not follow any procedures of labour,,, good..
There is no balance left,you should contact hirsi or mohamed salah,all we have is 0 balance for you,and if you don't agree you can call president GSM.
 
Thats the broblem with indian culture,you steal and lie,show your passport if you were deported,you left your self,if your prime minister can lie to us,what about you,in the ariport there is cctv and no evidence of any body forcing you in the plane,so stop this lie.
 
Thats the broblem with indian culture,you steal and lie,show your passport if you were deported,you left your self,if your prime minister can lie to us,what about you,in the ariport there is cctv and no evidence of any body forcing you in the plane,so stop this lie.
 

Please RISHBAH RAJ , report to Tanzania Revenue Authority about GSM tax evasion claim. Contact Commissioner General by SMS or Whatsapp through Mobile +255735600500.
Do it now to end this GSM criminal activity.
 
Indian saying african are racist🤣😃😃,very funny indian invented racism,they are racist till they isollate their own by clan system,even their rats are racist the don't mate with lower class rats.
 
Tena ni mradi mkubwa sana Uhamiaji, Pugu Rd ina kila aina ya Aliens, jamaa (Uhamiaji) wakichacha tu, wanavamia offices/warehouse/go-downs/factories moja baada ya moja, kwa kweli wengi sana wamefaidika/wanafaidika na huu mchezo, na siyo siri, inajulikana miaka nenda miaka rudi...
 
Kwa kweli umeongea point mtu aliyeumizwa unamtibu kwanza alafu mengine yanafuatia, hawa watu waliomshambulia kwa maneno wanafanana na police, unakimbizwa hospital damu inavuja sana wanasema hutibiwi mpaka wapate PF3 haya mambo ya kizamani kweli watu wanakufa kwa ujinga huu.
 
Unaweza ukapata msaada lakini na wewe utoe ushirikiano wa kutoa siri kwa serikali jinsi GSM inavyoibia Taifa hili bada yakubadili jina na kujifanya walifilisika, Usiwe na shaka hawa jamaaa ndio zao nasikia mmojawapo aliwahi kumwagiwa tindikali kwa sababu ya thuruma.
 
Hiyo lazima mkuuu huko aliko hana marinda chezeya mtulinga wa kinyamweziii. Hawa jamaaa kwa ubaguzi walionao afanywe tuuuu
Namuonea huruma; ila Uovu wa huyu kijana unajulikana, no wonder kakayake aliogeshwa tindikali coz of unyama aliofanyia watu. Hawana utu kabisa, risasi njenje
 
Giving away item is not a sale,you took 20million of furniture and gave to you girl friend,you are thief outcast dalit.
You had a lot of time and room for both of you to blast/defame each other, this is not a proper forum for you to bring your sheets before us
 
Wape kazi watu wa kukutea mtafute kibatala na jebra uwalipe wakutetee bure bure tu braza sahau
 
Huyu mtu kashapata msaada au mnataka hawa Ma=GSM waendeleze uhuni na ubabe, humu kuna kesi nyingi za ubabe dhidi ya wafanyakazi wao. haya kama hayatuzuiwa mapema mambo ya kulipizana visasi lazima. kwa dhuruma waliyofanya watu hawa huyu mfanyiwa anaweza kuwaacha salama?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…