eti where do i start %^&^%&!!!! sina time na watoto kama wewe...😛ound:khalids19
Where do I start!!!! Naona ungetumia kiswahili tu... teh teh teh!!!

khalids19
Mimi mtoto! khalids19... wakati wewe unaonyesha kabisa ushamba na utoto wako "listen kid will you Shut Da FU!"
Naona hapa nikuombe msamaha kwani hukunielewa nini nilichosema, Naona hukusoma comments zangu za awali kwenye hii post. Mimi nilitaka tu kumfahamisha Zasasule tu umuhimu wa kuzingatia sheria. Ndio alisema kuwa yeye anataka kujifunza tu, njia panya ambazo watu wanatumia ku circumvent security hiyo.
Tatizo la kutoa ujuzi tu bila kuuliza maswali kama haya yanaweza bila mtoa huo "ufundi" kujua kuwa na side effect kwa mwombaji na pengine huyo aliyetoa huo ufahamu. Nikasema kuwa nina jamaa zangu wa karibu waliopoteza kibarua kwa ujanja wa kukwepa kuzingatia sheria na hapo ndipo Zasasule alivyotaja kuwa yeye anataka kujifunza tu. Sasa wewe unaingilia thread na hasira tu sijui lengo lako ni nini....
Kama ulinisoma, nilitoa topic tu, ndio yeye atafute ufahamu zaidi kwa ku'google hiyo topic "IP Tunnelling" na katika kusaka huo ufundi, najua atapata maelezo zaidi na sio mimi kumwekea hapa points 1,2,3,4.... na hapo kweli atakuwa anajifunza.
Hata hivyo samahani kama sikueleweka.
HELOO jf members
Kuna hii kitu inaitwa sonic Wall,Najua ni hardware ambayo inawekwa kwenye gateway for filtering the incoming packets,,
Sasa nahitaji msaada mmoja,je kuna njia yoyote ya kuweza ku bypass this wall,i mean so that i can access all the site couse kutokana na hii sonic wall i cant access some of the sites i want to.Rember am just a normal user but not the network admin!!
ANYBODY WHO KNOWS,KINDLY REQUEST FOR YOUR HELP
so richard for downloading and uploading haewezekani?this UTM NI HARDWARE AMA SOFTWARE?