Need for speed : The run

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
13,425
2,000
wakuu sina hata mengi ya kusema kuhusu hii game mpya kwa wale wapenzi wa racing game ambayo inatarajiwsa kuwa released nafkiri nov. daah hawa jamaa ni wakare. icheck kwenye : www.needforspeed.com/the run
na vilevile unaeza kwenda youtube uone official trailer inakuaje
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom