Need Ban

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
947
547
Hivi ukitaka ban unatakiwa ufanye makosa gani mimi naitaka iyo ban ili nipumzike ila nataka ban ya mwezi mmoja mpaka mwezi wa ramadhani uishe ndio nirudi nipeni ushauri basi nahitaji Ban.
 
Ban haikuruhusu kuchangia tu lakini mengine unaona kama kawa. Sasa Huo mwezi wa ramadhani jpe ban mwenyewe ifute jf,tulia
 
Hivi ukitaka ban unatakiwa ufanye makosa gani mimi naitaka iyo ban ili nipumzike ila nataka ban ya mwezi mmoja mpaka mwezi wa ramadhani uishe ndio nirudi nipeni ushauri basi nahitaji Ban.
0c53215bd7fce5ca32ee6e8b117db778.jpg
 
Back
Top Bottom