Samahani mkuu, unaposoma serikali iingilie kati hili swala unahisi wanaonewa au? Na kama ndio basi kwanini wanaonewa?inasikitisha katika wavulana kumi MUISLAMU YUPO MMOJA TU.
katika wanawake 10 muislamu uyupo mmoja tu.
Katika shule bora kitaifa hakun a shule hata moja ya kiislamu., islamic semiary, serikali iingilie kati hili suala.
Mkuu, don’t put words in my mouth!!Hujui chochote kuhusu Elimu Form four one ya 3?
Asante Mkuu.Kasema Div 3 sio Div 1 ya 3... aibu kwako
Inashangaza mtoto amemaliza kidato cha 4 eti hajui dazeni 1 ina vitu vingapiUelewa kwa wanafunzi wengi ni zero kabisa.
Hiyo haina shida mkuu.Inashangaza mtoto amemaliza kidato cha 4 eti hajui dazeni 1 ina vitu vingapi
Kwa O level,
Darasa la 7 uwe na A ktk masomo yote.
Kwa A level.
Science
Division 1, points 7 - 14, grades comb AAA - ABB.
Arts
Division 1, points 7 - 17, grades comb AAA - BBB.
Kwenye tarehe za mwisho za mwezi huuMwaka huu wanatangaza lini?
Tarehe 15 mwezi wa kwanza 2022 SAA tano asubuhiMwaka huu wanatangaza lini?
Tunasubiri.Tarehe 14 mwezi wa kwanza 2022 SAA tano asubuhi
Wameyapeleka kwa Rais kwanza, rais akisaini ndo yanatokaSAA 5 ndio hii
Sasa hivi ni saa 6 mchana kwasaa za Afrika Mashariki...Tarehe 14 mwezi wa kwanza 2022 SAA tano asubuhi
Na wao ni binadamu, subiri wanamalizia mchakatoSasa hivi ni saa 6 mchana kwasaa za Afrika Mashariki...