Haha, mkuu nauhakika umepiga chabo sana, maana najua uwezifikiria mbinu kali kama hii kama wewe si mhusika.
Kuna mtu anaitwa Seme yupo kitivo cha sheria UDSM, huyo akisimamia pepa inabidi mjiandae kwa mbinu mpya coz jamaa hakukosi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums