NECTA tumieni hii

NECTA tumieni hii

Wewe ukikaishwa kwenye jua ukiwa unafanya mtihani utapofaulu kweli!??????????
 
Sasa hapo inakuwaje bojo likishuka, au ndiyo mabo ya kuruhusiwa ukafanyie nyumbani urudishe karatasi kesho.
 
Nadhani staili hii mama Daichako ataipenda sana maana itamfanya kubaini haraka nani hajui kusoma au kuandika. Mama Daichako upoooooo hapo hebu jizolee maujiko hapo.
 
Back
Top Bottom