NECTA: Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2016

JMisiru

Member
Jun 12, 2015
73
59
Mtihani wa kumaliza elimi ya Msingi yataanza rasmi JUMA TANO - 07.09.2016 na kumalizika ALHAMISI - 08.09.2016.

Hivyo neema ya Mungu iwe pamoja nanyi mnapofanya maandalizi ya dakika za mwisho.

"TUNAWATAKIENI KILA LILILO LA KHERI"​
"WISHING YOU SUCCESS IN YOUR FORTHCOMING EXAMS"​

God Bless you All!
 
vizuri kuwatakia mtihani mwema lkn duh! namashaka kidogo! kuna heri kwenye uwo mtihani..? a wish can speak a lot of things
 
....wonderful!, watoto wanakwenda next stage.
 
sasa unaacha kwenda kuwa wish huko fb walipo wewe unakuja huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…