NECTA: Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2016

JMisiru

Member
Jun 12, 2015
73
59
Mtihani wa kumaliza elimi ya Msingi yataanza rasmi JUMA TANO - 07.09.2016 na kumalizika ALHAMISI - 08.09.2016.

Hivyo neema ya Mungu iwe pamoja nanyi mnapofanya maandalizi ya dakika za mwisho.

"TUNAWATAKIENI KILA LILILO LA KHERI"​
"WISHING YOU SUCCESS IN YOUR FORTHCOMING EXAMS"​

God Bless you All!
Screenshot from 2016-08-05 10:01:08.png
Screenshot from 2016-08-05 10:01:56.png
 
vizuri kuwatakia mtihani mwema lkn duh! namashaka kidogo! kuna heri kwenye uwo mtihani..? a wish can speak a lot of things
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom