NECTA kuwasaka wenye vyeti bandia

NECTA kuwasaka wenye vyeti bandia

Jamani jamani jamani, sehemu zoooooote waende kukagua lakini huko police naomba wasiende nchi itatikisika hii.
 
Wanapoteza Muda Wao Bure,na Kamwe Haiwezekani,watakamata Vyeti Vingine Lakini Vingine Vinaendelea Kutengenezwa Kila Siku,mimi Ndo Kazi Yangu,nina Mtambo Wa Kutengeneza Vyeti Hivyo Na Hadi Sasa Nimeshatengeneza Vyeti 1,500 na kuuza vyote,kila cheti ni sh 40,000 Na Hiyo Ndo Ajira Yangu,nikale Wapi? Nitaacha Kuvitengeneza Hadi ccm iondoke madarakani,lakini ikiendelea ndo kabisa,nitaanza kutengeneza hadi vyeti vya UNIVERSITIES,na Hakuna Wa Kunikamata Maana Nakula Na Police,hii Ndo Tanzania Bana Hutaki Unaacha.
 
mkuu naweza pata cheti cha advance kizur chenye one Kali nimepata mchongo halmashaur hiz zetu nimeambiwa ntafute chet cha six
 
Kijana acha kukurupuka, usidhani wote waliopo humu ni mambumbumbu kama wewe. NECTA inahusikaje katika huo utafiti wako unaosema ulifanya? Hebu kwanza jiulize wewe na Idara/Taasisi yako umeajiri watu waliotumia vyeti feki bila kulishirikisha Baraza la Mitihani ili lije kwanza kuhakiki vyeti hivyo halafu mwisho wa siku unakuja kulilaumu Baraza la Mitihani. Yaani ni sawa sawa na mwenye Lori anaajiri dereva wakati dereva huyo amempa leseni feki, badala ya kuichukua leseni hiyo na kuiwasilisha mamlaka husika kwa ajili ya uhakiki yeye anaona kapata dereva. Mwisho wa siku DEREVA kapata ajali ya kizembe inabainika alikuwa sio dereva makini unaanza kulaumu Polisi wa Barabarani/TRA. What a shame!

Kwani hujui hata Posta kuna watu wanatengeneza vyeti feki kwa watu wenye akili kama zako, hapo utalilaumu Baraza la Mitihani? Mjilaumu nyinyi wapenda vya bure mtakao shortcut hamtaki kusoma na kupata vyeti halali, mwisho wa siku yanawakuta ya kuwakuta mnaanza kutoa lawama kwa NECTA. Ingekuwa Kampuni zote au Taasisi/Idara zinafanya kazi kama TFF mambo ya vyeti feki yasingekuwepo. TFF huwezikupata ajira mpaka wapeleke vyeti NECTA, kama huamini muulize Michael Wambura wakati anagombea TFF nini kilimkwamisha achilia mbali zile kesi za mahakamani.

Hako kautafiti kako wakati unakaleta hapa utuambie pia utuambie NECTA imehusikaje katika uwepo wa hivyo vyeti feki.

nshakujua dawa yenu inakuja soon
 
...Nauliza tu: Huu ndio Mkwara wa Kwanza kuchimbwa hapa Bongo kuhusu Vyeti bandia??
 
Jamani jamani jamani, sehemu zoooooote waende kukagua lakini huko police naomba wasiende nchi itatikisika hii.
Ni miaka sasa Polisi, JKT wote wakiwa vyuoni vyeti vyao vinapelekwa NECTA kwa ajili ya uhakiki. Na kama ni mfuatiliaji mzuri wa media wengi wamekuwa wakikamatwa katika ngazi za mafunzo.

Kilichopelekea mpaka hali kwenye ajira za umma kufikia hapa ilipo ni kuzembea kwa serikali hapo awali kuajiri watumishi pasipo kuwasiliana na NECTA au TCU ili sifa zihakikiwe.
 
mkuu naweza pata cheti cha advance kizur chenye one Kali nimepata mchongo halmashaur hiz zetu nimeambiwa ntafute chet cha six

Utapata Kijana Usihofu Andaa Hiyo Elfu 40 Kisha Unitafute.
 
Acha Kutisha Watu Wewe! Tanzania Hii Au Nyingine? Wezi Wa EPA,MEREMETA,GREEN FINANCE,ESCROW Mmeshindwa Kuwakamata Leo Iwe Vyeti? Huo Ni Upepo Tu,na Bado Tutatengeneza Vingi Mno.[

Jamani kwani wangapi na tunawafahamu wanaotumia vyeti feki na wako kwenye ajira za serikali? Ili kuwe na usawa kwa hili inabidi waanzie jeshi, polisi na ndipo idara zingine zifuate, na vp lile sakata la baadhi ya watumishi jeshini kukutwa na vyeti bandia kwenye zoezi la kupata vyeti vya NIDA liliishia wapi? Mbona hatukuona wahusika wakichukuliwa hatua? Na vipi kwa wabunge waliogushi vyeti mbona hawakuchukuliwa hatua?
 
Unafahamu majukumu ya NECTA?

Huwez mrudisha mtu ambae amefuzu mafunzo yote kisa cheti jaribun kuuliza vzr pale JKT kuna kijana alikua anapiga range vizuri then alikosa post ya TPDF alikua ameamua kujitupa wp mpk ss walikua wanamtafta tchaoooooooooo warererrrrr
 
Acha Kutisha Watu Wewe! Tanzania Hii Au Nyingine? Wezi Wa EPA,MEREMETA,GREEN FINANCE,ESCROW Mmeshindwa Kuwakamata Leo Iwe Vyeti? Huo Ni Upepo Tu,na Bado Tutatengeneza Vingi Mno.[

Jamani kwani wangapi na tunawafahamu wanaotumia vyeti feki na wako kwenye ajira za serikali? Ili kuwe na usawa kwa hili inabidi waanzie jeshi, polisi na ndipo idara zingine zifuate, na vp lile sakata la baadhi ya watumishi jeshini kukutwa na vyeti bandia kwenye zoezi la kupata vyeti vya NIDA liliishia wapi? Mbona hatukuona wahusika wakichukuliwa hatua? Na vipi kwa wabunge waliogushi vyeti mbona hawakuchukuliwa hatua?

Mkuu unatengenezaga vyeti nini??.
 
Back
Top Bottom