grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Mkuu mbona hilo lilianza kufanyika miaka miwili iliyopita, wakati serikali ilipotoa agizo la uhakiki wa sifa za kila mwajiriwa nchini. Unajua kilichofanya zoezi likasitishwa ghafla, kwa sisi tunaofuatilia mambo nchi ilitaka kusimama hii, JWTZ kuna vigogo walitikiswa huko, sasa unadhani ni rahisi kumng'oa mtu mwenye siri za kijeshi na kiserikali kweli.Na Katika Idara Nilizozitaja Hapo Juu, Wakitaka Kufanya Vizuri Ukaguzi Uanzie Kwa WAKUU WA KILA IDARA,WASAIDIZI WAO,VIONGOZI WENGINE NDO WASHUKE HADI KWA MAKOPLO.Iwapo Wataanzia Chini Kwenda Juu Watakwamishwa Na Mkuu Wa Idara Ambae Anavyeti Bandia Kwani Ataweka Vikwazo Zoezi Hili Lisifanyike Kwenye Kitengo Chake.Sasa Hapa Dawa Ni Kuanza Na Mkubwa Ili Kumbaini Kama Yeye Mwenyewe Ni Msafi? Ili Kama Siyo Msafi Alipotiwe Kisha Ang'olewe Cheo Chake Maana Huwezi Kufanya Kazi Na Mhalifu Kwani Atatetea Wahalifu Wenzake.
Tusijidanganye kuna baadhi ya nyadhifa kama viongozi walitumia vyeti feki kukaa hapo walipo hakuna ujanja wa kuwaondoa kiurahisi. Cha kufanya tusiruhusu hilo lijirudie tena.