mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,910
- 18,558
Hawatathubutu kupita mitaa ya Bashite! Kwani hawajitaki! Wamwulize Nap*!
Ongeza wakuu wa MikoaNgoja niwasaidie kuwaelekeza watu wanaohusika na vyeti vya bandia waanzie hapa,
1. Polisi
2. Magereza
3. JWTZ
4. Uhamiaji.
Maeneo hayo yametapakaa matumizi ya vyeti bandia na wengi wamepata kazi hiyo kwa vimemo vya wakubwa.
WAANZIE HUKO KWANZA.WAJE WATOE MREJESHO KAMA HAWAJAKUTA NUSU YA MAAFISA NI VYETI BANDIA WANAVITUMIA.WENGINE WANATUMIA VYETI VYA NDG ZAO NA HILO NALO WAFUATILIE.
Yani hii serekali zaifu sana! Si watengeneze system ya komputa na kuonesha kama kweli mtu huyu kamaliza form 4 au six bila kusumbua waajiri kupeleka vyeti kimoja kimoja!
Kuna software developer wakipewe kazi hiyo wanafanya faster! Waweke system tu na vyuo pia waweke system hapo ndio itakuwa noma.