NEC yatangaza uchaguzi kata 27 kufanyika mwezi February mwakani

D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
504
Likes
0
Points
0
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
504 0 0
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kata 27 nchini ambazo zipo wazi kutokana na madiwani wake kufariki dunia na wengine kupoteza sifa, uchaguzi wake utafanyika Februari 9 mwakani. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Mkurugenzi wa NEC, Julius Mallaba, alisema uchaguzi huo utafanyika katika halmashauri 23 baada ya kukamilisha taratibu zinazotakiwa.Alizitaja kata hizo na halmashauri zake zikiwa kwenye mabano ni Segela na Mpwayungu (Chamwino), Ukumbi na Ibumu (Kilolo), Nduli (Iringa), Malindo (Rungwe) na Santilya (Mbeya).

Nyingine ni Tungi (Morogoro), Mkwiti (Tandahimba), Mkongolo (Kigoma), Sombetini (Arusha), Mrijo (Chemba), Magomeni na Kibindu (Bagamoyo), Mtae (Lushoto), Ubagwe (Ushetu) na Namikago (Nachingwea).
Kata nyingine ni Partimbo na Loolera (Kiteto), Kiwalala (Lindi), Kilelema (Buhigwe), Kiomoni (Tanga), Kasanga (Kalambo), Rudewa (Kilosa), Kiborloni (Moshi), Njombe Mjini (Njombe) na Nyasura (Bunda).

Alisema uteuzi wa wagombea udiwani utafanyika Januari 15, wakati kampeni za uchaguzi zitaanza Januari 16 hadi Februari 8 na siku ya kupiga kura itakuwa Februari 9.
 
M

Mathias Lyamunda

Verified Member
Joined
Apr 4, 2013
Messages
1,367
Likes
63
Points
145
M

Mathias Lyamunda

Verified Member
Joined Apr 4, 2013
1,367 63 145

Mbona kata ya Kisesa haipo, iliyokuwa ya Mabina, aliyepigwa na wapiga kura wake hadi kufa?
 
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
2,792
Likes
99
Points
145
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
2,792 99 145
Tunasubiri watu kufa na kumwagiana Tindikali,Hamna mgombea Uraisi wa Upinzani aliepata kura nyingi kama MREMA,lkn kinachotokea sasa uaribifu wa mali na mauaji, inasababishwa na chama kikuu cha upinzani CDM kupinga kila kitu.
 
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
504
Likes
0
Points
0
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
504 0 0
Tunasubiri watu kufa na kumwagiana Tindikali,Hamna mgombea Uraisi wa Upinzani aliepata kura nyingi kama MREMA,lkn kinachotokea sasa uaribifu wa mali na mauaji, inasababishwa na chama kikuu cha upinzani CDM kupinga kila kitu.
Wanaibaga kura sio?
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,952
Likes
3,068
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,952 3,068 280
Tuache sasa kukesha mitandaoni na kumtukana zitto,twendeni mashinani sasa.tukipata angalau kata 20 tutakuwa na uwezo mzuri kushnda serikali za mitaa 2014. Chini ya hapo ni maumivu
 
M

Mathias Lyamunda

Verified Member
Joined
Apr 4, 2013
Messages
1,367
Likes
63
Points
145
M

Mathias Lyamunda

Verified Member
Joined Apr 4, 2013
1,367 63 145
Mchakato ulikuwa ushakamilika ndo maana
Hiyo Kata CCM haitashinda hata kwa dawa.. Nilikuwepo hapo Kisesa wananchi wanamkimbia mtu yoyote wasie mjua!
 
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
3,393
Likes
251
Points
160
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
3,393 251 160
kwa sasa chaguzi ndogo siyo ishu tunangoja uchaguzi mkuu ndiyo ishu kwa sasa.
 
J

JtheTATA

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2013
Messages
333
Likes
11
Points
33
Age
36
J

JtheTATA

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2013
333 11 33
msimu mwingine wa kumwagiana tindikali na kulipuana mabomu..! wanasiasa wa nchi hii tuombe Mungu awasamehe...
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,026
Likes
5,727
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,026 5,727 280
Waambie wakubali kuboresha daftari la wapiga kura - wanaogopa nini chama kikongwe miaka 60 madarakani?
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,948
Likes
7,599
Points
280
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,948 7,599 280
Hapa nikitazama chap chap CHADEMA wanaweza kuambulia kata mbili tu!
 
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Messages
16,094
Likes
27,464
Points
280
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2010
16,094 27,464 280
Tunasubiri watu kufa na kumwagiana Tindikali,Hamna mgombea Uraisi wa Upinzani aliepata kura nyingi kama MREMA,lkn kinachotokea sasa uaribifu wa mali na mauaji, inasababishwa na chama kikuu cha upinzani CDM kupinga kila kitu.
Nenda hosiptali kacheki mfumo wa kumbukumbu wa ubongo wako inawezekana fusi moja imelegea.
 
J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
1,270
Likes
6
Points
135
J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
1,270 6 135
Hapa nikitazama chap chap CHADEMA wanaweza kuambulia kata mbili tu!
poor analysis, kuna ukweli kuwa kata za dodoma kwa wagogo, na hizo za pwani kuna tatizo kidogo kwa upande wa CHADEMA na ndo zilizonyingi kwenye orodha lakini huko kwingine CCM itapoteza vibaya
 
K

Kilahiro

Senior Member
Joined
Aug 5, 2013
Messages
171
Likes
6
Points
0
Age
59
K

Kilahiro

Senior Member
Joined Aug 5, 2013
171 6 0
Tunasubiri watu kufa na kumwagiana Tindikali,Hamna mgombea Uraisi wa Upinzani aliepata kura nyingi kama MREMA,lkn kinachotokea sasa uaribifu wa mali na mauaji, inasababishwa na chama kikuu cha upinzani CDM kupinga kila kitu.
Mrema alikuwa mpinzani wenu ndo mana mifano yote mrema na bado mtamtaja sana.andaeni minoti ya kugawa kwani nyie uchaguz ni nusu ya vita.sisi jukwaa na mic tu.nyie viti magari ya soda,pilau wasanii mtakoma.
 
Forum statistics

Threads 1,273,089
Members 490,268
Posts 30,470,911