Elections 2010 NEC yasimamisha Chadema kufanya kampeni Maswa

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Habari nilzopata sasa hivi ni kwamba NEC imekisimamisha Chadema kufanya kampeni katika jimbo la Maswa. Hiyo imemuaffect Marando ambaye amezuiwa kuingia Maswa kufanya kampeni.
 
Shibuda kaonekana hana hatia yoyote na kile kifo cha yule dreva wa thithiem. Sasa kama hii habari ni kweli inaashiria nini? Hali inaanza kuwa tete.:tape:
 
Ni kweli Tume ya Uchaguzi imefuata maelekezo ya CCM na kuizuia Chadema kufanya kampeni Maswa. Mpiganaji Marando amethibitisha kuwa yupo huko na amekutana na kikwazo hicho. Kinachoendelea ni kwamba CCM wanatumia nafasi hii kuwadanganya wapiga kura kwamba Chadema imeondolewa kwenye uchaguzi ili mashabiki wake wasiende kupiga kura au wawapigie hawa majambazi wa CCM. WITO: Magazeti yenye uzalendo yafuatilie habari hii na kuiandika kwa usahihi na kuhakikisha kuwa nakala nyingi zinaenda Maswa ili wananchi watambue hila hii ya CCM.
 
Ni kweli, NEC imemsimamisha Shibuda kufanya kampeini kwa siku mbili, yaani kesho na keshokutwa likiwa ni itikio la uamuzi wa msimamizi wa uchaguzi wa Maswa aliyependekeza Shibuda aondolewe katika kinyanganyiro. NEC imepunguza adhabu kwa kumzuia kufanya kampeini kwa siku mbili.

MY Take: Hii ina backfire kwa sababu, sasa operatives wa Shibuda watafanya kampeini kwa amani on the ground. Ni sawa na kusema CCM wameamua kumfanyia kampeini Shibuda na atashinda kwa hakika.
 
Mbona watu wamekatwa mapanga hatujasikia vyama kuondolewa kwenye kampeni au kwa kuwa mashambulizi yanahusisha ccm? Kwakweli hili ni pigo but ukweli utaonekana na watu si wajinga watachoose wisely.
 
Habari nilzopata sasa hivi ni kwamba NEC imekisimamisha Chadema kufanya kampeni katika jimbo la Maswa. Hiyo imemuaffect Marando ambaye amezuiwa kuingia Maswa kufanya kampeni.

Acha ujinga. Pumba zako zipeleke CCM. Labda NEC ya CCM
 
marando amenithibitishia hilo

kuna hila mana shibda hausiki na kesi wala mauaji sasa adhabu ya nini?

bado wanalifanyia kazi
 
marando amenithibitishia hilo

kuna hila mana shibda hausiki na kesi wala mauaji sasa adhabu ya nini?

bado wanalifanyia kazi

Jamaa hausiki lakini wanataka kumwondoa kijanja. But the truth will reveal. Lazima ashinde.
 
Hii haiwezi kupita bila kuhojiwa...
Toeni maelezo yenye akili bana...adhabu ya namna hiyo iko kisheria?, lakini pia ni adhabu ya nini kama mtu amekuwa acquited?
 
Ni sawa na mwamuzi wa ngumi kuamua kumshika mikono mmoja wakati mwingine akimpiga mwenzie za uso, lakini nina imani Shibuda atashinda.
 
Habari nilzopata sasa hivi ni kwamba NEC imekisimamisha Chadema kufanya kampeni katika jimbo la Maswa. Hiyo imemuaffect Marando ambaye amezuiwa kuingia Maswa kufanya kampeni.
amezuiwa kuingia maswa au kufanya kampeni?? nijuavyo mimi hata kama wamesitisha kampeni, bado marando ana haki ya kwenda popote tanzania

please elaborate
 
marando amenithibitishia hilo

kuna hila mana shibda hausiki na kesi wala mauaji sasa adhabu ya nini?

bado wanalifanyia kazi

Ni wazi kuwa huyu JAJI mstaafu Makame wa NEC hajali haki wala sheria ila anafanya maamuzi kienyejically tu kwa kutegemea serikali au chama twawala wanataka nini. Kesho CHADEMA ikishinda na CCM ikashindwa utaona ameanza kuwachenjia kibao na kuwapiga marufuku CCM badala ya CHADEMA.
 
Hii ni mbinu nyingine chafu yenye lengo la kubaka demokrasia ya Tanzania. Inawezekanaje katika uwanja sawia huyu aendelee na mwenzake akatazwe? Nadhani kama nikuhofia fuju na vurugu basi kampeni za jimbo kwa ujumla wake zingesimamishwa? Inawezekanaje washindanisha watu bila kuwapa uwanja sawa wa kushindana? Je kama shibuda na CHADEMA hawahusiki kama ilivyothibitishwa na polisi kwanini wao wanyimwe haki ya kujinadi?

Anyway, watumie mbinu zote watakazi ila huwezi kuzuia mvua.. kama inanyesha inanyesha tu. Mwakahuu imekula kwao. Nguvu ya UMA ni mara mia ya dola so wasitaraji dola linaweza uzuia uma kama tumekwisha hamua kuleta mabadiliko
 
Acha ujinga. Pumba zako zipeleke CCM. Labda NEC ya CCM

Acha hasira kaka, ni kweli nimeongea na jamaa yangu yupo Maswa ni kweli kuanzia leo amesimamishwa kampeni mpaka siku ya uchaguzi, meaning hakuna kampeni bali watapiga kura tu,...inauma!
 
Back
Top Bottom